Vacodil 6.25Mg Tablet

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Carvedilol 6.25mg kwa kidonge.



Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kupunguza shinikizo la damu (Hypertension)
  • Kupunguza dalili za moyo (Heart failure)
  • Kutibu maumivu ya kifua (Chest pain – Angina)


Kuipata dawa hii

  • Dawa hii inahitaji agizo la daktari (Prescription)
  • Ikiwa huna prescription, bofya hapa kuwasiliana na daktari hapa BURE

Sh 250

Share :-

SKU 20220211 Category Tag

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Carvedilol 6.25mg kwa kidonge.



Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kupunguza shinikizo la damu (Hypertension)
  • Kupunguza dalili za moyo (Heart failure)
  • Kutibu maumivu ya kifua (Chest pain – Angina)

Zingatia Kunywa kidonge hiki kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi. Usimeze kidonge kizima bila kuvunja au kukichanganya na chakula. Epuka kunywa pombe wakati wa matumizi ya dawa hii kwani inaweza kuongeza athari ya madhara ya dawa.

Kuipata dawa hii:

  • Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
  • Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa

Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Vacodil 6.25Mg Tablet”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.