Amlosun 5Mg Tablet

Dawa hii ina kiambato cha msingi cha Amlodipine 5mg (Amlosun 5Mg Kidonge).

Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kupunguza shinikizo la damu la juu (hypertension)
  • Kuzuia maumivu ya kifua kutokana na kuziba kwa mishipa ya moyo (angina)
  • Kuboresha mtiririko wa damu kwenye moyo (coronary artery disease)

Kuipata dawa hii

  • Dawa hii inahitaji agizo la daktari (Prescription)
  • Ikiwa huna prescription, bofya hapa kuwasiliana na daktari hapa BURE

Sh 200

Share :-

SKU 20221468 Category Tag

Dawa hii ina kiambato cha msingi cha Amlodipine 5mg (Amlosun 5Mg Kidonge).

Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kupunguza shinikizo la damu la juu (hypertension)
  • Kuzuia maumivu ya kifua kutokana na kuziba kwa mishipa ya moyo (angina)
  • Kuboresha mtiririko wa damu kwenye moyo (coronary artery disease)

Zingatia Kunywa kidonge hiki kila siku kwa saa ile ile kila siku ili kufikia matokeo bora. Usivunje wala usisage kidonge. Endelea kuchukua dawa hii hata kama unajisikia vizuri, isipokuwa kama daktari wako amekuelekeza vinginevyo.

Kuipata dawa hii:

  • Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
  • Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa

Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Amlosun 5Mg Tablet”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.