Dawa hii ina kiungo cha Methyldopa 250Mg
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kudhibiti shinikizo la damu
- Kupunguza maumivu ya kichwa yanayosababishwa na shinikizo la damu
- Kuzuia mshtuko wa moyo na kiharusi kwa wagonjwa wenye shinikizo la damu
Zingatia unapaswa kuchukua dawa hii kwa usahihi kulingana na maagizo ya daktari wako. Usisimamishe au ubadilishe dozi yako bila idhini ya daktari wako.
Kuipata dawa hii
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Ikiwa huna Prescription, onana na daktari hapa BURE bofya hapa
- Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla
Reviews
There are no reviews yet.