Losa 50Mg Tablet

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Losa 50Mg tablet ni Losartan 50mg kidonge.

Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kupunguza shinikizo la damu (hypertension)
  • Kutibu matatizo ya moyo kama vile kushindwa kwa moyo (heart failure)


Kuipata dawa hii

  • Dawa hii inahitaji agizo la daktari (Prescription)
  • Ikiwa huna prescription, bofya hapa kuwasiliana na daktari hapa BURE

Sh 500

Share :-

SKU 20221522 Category Tag

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Losa 50Mg tablet ni Losartan 50mg kidonge.

Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kupunguza shinikizo la damu (hypertension)
  • Kutibu matatizo ya moyo kama vile kushindwa kwa moyo (heart failure)

Zingatia Kunywa kidonge hiki kila siku kwa saa iliyopendekezwa na daktari wako. Usiache kutumia dawa hii bila idhini ya daktari wako, hata ikiwa unaanza kujisikia vizuri.

Kuipata dawa hii:

  • Dawa hii inahitaji prescription cha daktari.
  • Kununua dawa hii kwa wingi kunaweza kusaidia kupata punguzo la bei.

Kumbuka: Hakikisha kuhifadhi dawa hii mahali pa kavu na salama, mbali na mwanga wa jua na unyevunyevu.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Losa 50Mg Tablet”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.