Auroliza 5Mg Tablet

Dawa hii ina kiungo kikuu cha dawa hii ni Lisinopril 5mg.

Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kushusha shinikizo la damu (Hypertension)
  • Kutibu kushindwa kwa moyo wa kushoto (Left ventricular failure)
  • Kutibu kuziba kwa mishipa ya damu kwenye moyo (Coronary artery disease)
  • Kuzuia kufa kwa misuli ya moyo (Heart attack prevention)

Kuipata dawa hii

  • Dawa hii inahitaji agizo la daktari (Prescription)
  • Ikiwa huna prescription, bofya hapa kuwasiliana na daktari hapa BURE

Sh 300

Share :-

SKU 20220601 Category Tag

Dawa hii ina kiungo kikuu cha dawa hii ni Lisinopril 5mg.

Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kushusha shinikizo la damu (Hypertension)
  • Kutibu kushindwa kwa moyo wa kushoto (Left ventricular failure)
  • Kutibu kuziba kwa mishipa ya damu kwenye moyo (Coronary artery disease)
  • Kuzuia kufa kwa misuli ya moyo (Heart attack prevention)

Zingatia Chukua dawa hii kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi. Usitumie kipimo kikubwa au kidogo kuliko kilichopendekezwa na daktari au kwenye maelekezo. Tafadhali ongea na daktari wako kama una maswali yoyote au wasiwasi juu ya matumizi ya dawa hii.

Kuipata dawa hii:

  • Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
  • Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa

Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Auroliza 5Mg Tablet”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.