Atacand 8Mg Tablet

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Candesartan 8mg.

Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kudhibiti shinikizo la damu (hypertension)
  • Kupunguza hatari ya kiharusi (stroke) kwa wagonjwa wenye shinikizo la damu
  • Kudhibiti ugonjwa wa figo (nephropathy) kwa wagonjwa wenye kisukari na shinikizo la damu

Kuipata dawa hii

  • Dawa hii inahitaji agizo la daktari (Prescription)
  • Ikiwa huna prescription, bofya hapa kuwasiliana na daktari hapa BURE

Sh 1,850

Share :-

SKU 20221208 Category Tag

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Candesartan 8mg.

Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kudhibiti shinikizo la damu (hypertension)
  • Kupunguza hatari ya kiharusi (stroke) kwa wagonjwa wenye shinikizo la damu
  • Kudhibiti ugonjwa wa figo (nephropathy) kwa wagonjwa wenye kisukari na shinikizo la damu

Zingatia Kunywa kidonge hiki kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi. Epuka kunywa kipimo kikubwa au kidogo kuliko kilichopendekezwa na daktari au kwenye maelekezo. Usikate kidonge hiki vipande vipande au kubadilisha kipimo bila kushauriana na daktari wako.

Kuipata dawa hii:

  • Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
  • Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa

Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Atacand 8Mg Tablet”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.