Dawa hii ina kiambato kikuu cha Candesartan cilexetil (32mg).
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kudhibiti shinikizo la damu (Hypertension)
- Kuzuia kufura kwa moyo (Heart failure)
- Kupunguza hatari ya kiharusi (Stroke risk reduction)
Zingatia Kunywa kidonge kimoja cha Aderan 32mg kila siku kwa wakati uliopangwa na daktari wako. Usiache kuchukua dawa hii ghafla bila idhini ya daktari wako.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kidonge hiki kinapaswa kunywa kwa mdomo kwa kipimo na wakati uliopangwa
Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.