Katika enzi hii ya ubunifu na urahisi, tunayo furaha kuwaletea hatua mpya kabisa katika huduma za afya. Tunajivunia kutangaza ushirikiano wetu na watoa huduma wakubwa wa afya, ushirikiano ambao unatarajiwa kubadilisha njia unayopata ushauri wa matibabu.
Je, ungependa kuwa na ngozi yenye afya na inayong’aa? Kufikia uzito unaotaka? Kuwa na tabasamu lenye kuvutia na kujiamini? Na kwa wazazi wapya, je, unajua jinsi ya kujitunza wewe na mtoto wako? Majibu ya maswali yote haya yanapatikana baada ya kuonana na mtaalamu wa afya mtandaoni . AfyaDepo imeshirikiana na wataalamu walio na uzoefu na weledi kushughulikia mahitaji yako ya kipekee na kujibu maswali haya na mengine mengi kupitia mtandao, bila kulazimika kwenda hospitalini.
Unachopata:
• Ushauri kuhusu matibabu ya magonjwa ya ngozi, ikiwa ni pamoja na kupanga utunzaji wa ngozi kulingana na aina yako ya ngozi.
• Mkakati wa usimamizi wa kupunguza uzito, njia muhimu ya kupunguza hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa (NCDs).
• Ushauri kuhusu magonjwa ya meno pamoja na usafi wa kinywa ili kuzuia magonjwa ya meno.
• Msaada kwa wazazi wapya na miongozo kuhusu kumhudumia mtoto mpya.
Jinsi Huduma Inavyofanya Kazi:
1. Lipia ada ya huduma kwa usalama. Bofya hapa: https://shorturl.at/ejBDX
2. Jisajili na upange tarehe na wakati wa kikao chako na mtoa huduma wa afya uliyemchagua kulingana na huduma unayohitaji.
3. Unapofika wakati uliopangwa, utapokea kumbusho la simu ya video kwa ajili ya kikao chako.
4. Bidhaa na dawa zote zilizopendekezwa na mtoa huduma zinapatikana kwenye duka letu la mtandaoni. Pitia na oda kwa urahisi kupitia simu yako.
5. Kamilisha malipo ya bidhaa kwa urahisi kupitia simu yako.
6. Tulia, pokea, na tutakuletea bidhaa ulizolipia huko ulipo. (Tunapeleka kote nchini.)
Wekeza kwa Afya Yako Leo!
Usitahamaki tena. AfyaDepo inakuletea suluhisho linalokidhi mahitaji yako ya kipekee. Anza safari yako kuelekea mwangaza, ustawi, na kujiamini—hakikisha unapanga kuonana, na kukutana na mtaalamu wako wa afya leo, kupitia AfyaDepo.
Kwa maswali, wasiliana nasi kupitia simu namba 0679297839 au barua pepe [email protected].
Panga kukutana na daktari kwa kubofya hapa: https://shorturl.at/ejBDX
Jikite katika kuboresha afya na uzuri wako kupitia AfyaDepo—mahali ambapo weledi unakutana na matamanio yako. Unastahili bora zaidi!
Kumbuka: Watoa huduma tunaoshirikiana nao wamesajiliwa na wanafanya kazi katika vituo vya afya vilivyosajiliwa na serikali.