Vacodil 12.5Mg Tablet

Dawa hii ina kiambato cha Carvedilol cha 12.5mg.



Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kutibu shinikizo la damu (high blood pressure)
  • Kuboresha mzunguko wa damu mwilini
  • Kupunguza mzigo kwenye moyo kwa wagonjwa wenye matatizo ya moyo
  • Kuzuia kifafa cha moyo


Kuipata dawa hii

  • Dawa hii inahitaji agizo la daktari (Prescription)
  • Ikiwa huna prescription, bofya hapa kuwasiliana na daktari hapa BURE

Sh 300

Share :-

SKU 20220210 Category Tag

Dawa hii ina kiambato cha Carvedilol cha 12.5mg.



Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kutibu shinikizo la damu (high blood pressure)
  • Kuboresha mzunguko wa damu mwilini
  • Kupunguza mzigo kwenye moyo kwa wagonjwa wenye matatizo ya moyo
  • Kuzuia kifafa cha moyo

Zingatia

Chukua dawa hii kwa kuzingatia maelekezo ya daktari wako au ya maelekezo yaliyomo kwenye lebo. Usipitie dozi au kuacha dawa hii bila ushauri wa daktari.

Kuipata dawa hii

  • Dawa hii inahitaji prescription cha daktari.
  • Unaweza kuipata kutoka kwa wauzaji wa dawa wa rejareja.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Vacodil 12.5Mg Tablet”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.