Dawa hii ina kiungo kikuu cha Telmisatan na Hydrochlorothiazide kwa kipimo cha 80/12.5mg kwa kidonge kimoja cha Telswift 12.5Mg.
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kusaidia kupunguza shinikizo la damu kwa wagonjwa wenye shinikizo la damu la juu (Hypertension)
- Kudhibiti matatizo ya moyo na mishipa ya damu kwa wagonjwa wenye shinikizo la damu (Hypertension) na matatizo mengine kama vile ugonjwa wa moyo wa koroni (Coronary artery disease)
Zingatia Kunywa kidonge kimoja cha Telswift 12.5Mg kila siku kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi. Usiongeze au kupunguza kipimo chako bila ushauri wa daktari.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa
Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.