Swamlo 5Mg Tablet

Dawa hii ina kiambato kikuu cha Amlodipine besylate 5mg.



Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kushusha shinikizo la damu (hypertension)
  • Kudhibiti maumivu ya kifua (angina)


Kuipata dawa hii

  • Dawa hii inahitaji agizo la daktari (Prescription)
  • Ikiwa huna prescription, bofya hapa kuwasiliana na daktari hapa BURE

Sh 200

Share :-

SKU 20221489 Category Tag

Dawa hii ina kiambato kikuu cha Amlodipine besylate 5mg.



Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kushusha shinikizo la damu (hypertension)
  • Kudhibiti maumivu ya kifua (angina)

Zingatia Kunywa kidonge hiki kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi. Usipaswi kusimamisha matibabu bila idhini ya daktari wako. Pia hakikisha unamwambia daktari wako kuhusu dawa zote unazotumia kabla ya kuanza kutumia dawa hii.



Kuipata dawa hii:

  • Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
  • Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa

Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.

Brand

IndSwift

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Swamlo 5Mg Tablet”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.