Dawa hii ina kiambato kikuu cha Amlodipine 10mg (Swamlo 10mg kidonge).
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kudhibiti shinikizo la damu la juu (Hypertension)
- Kuzuia maumivu ya kifua (Angina pectoris)
Zingatia Kunywa kidonge hiki kila siku kwa wakati ule ule. Usisitishwe na mabadiliko yoyote bila kumwona daktari wako.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa
Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.