Suresign Blood Pressure Monitor

Blood Pressure Monitor (SureSign) ni mashine ya kupimia shinikizo la damu inayotuminika kwa  urahisi na hutoa vipimo sahihi vya shinikizo la damu nyumbani au hata hospitali. Ina onyesho kubwa na rahisi kusoma.

Sh 120,000

Share :-

SureSign BP Monitor ni kifaa kinachoweza kutumika kwa urahisi na kinachojulikana kwa kufuatilia shinikizo la damu (Presha) kwa usahihi nyumbani.Ina skrini kubwa, na Na spae zinapatikana kwa urahisi na zinaweza kubadilishwa, unaweza kupima shinikizo lako la damu kwa haraka na kwa ufanisi. Kawaida, kifaa hicho pia kina uwezo wa  uhifadhi wa kumbukumbu za vipimo mbalimbali, ukujumuhisha  tarehe na muda, na labda hata kiashirio cha kuonyesha cha kuonyesha hatari ya shinikizo la damu kulingana na muongozo wa WHO. Utakapo pata Mashine hii. Hakikisha unaangalia maelezo ya bidhaa kwa vipengele vilivyosasishwa zaidi.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Suresign Blood Pressure Monitor”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.