Safetelmi 80Mg Tablet

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Telmisartan 80mg.

Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kudhibiti shinikizo la damu (Hypertension)
  • Kuzuia matatizo ya moyo kama vile kiharusi (Stroke) na mshtuko wa moyo (Heart attack) kwa wagonjwa wenye hatari kubwa ya kutokea kwa matatizo hayo

Kuipata dawa hii

  • Dawa hii inahitaji agizo la daktari (Prescription)
  • Ikiwa huna prescription, bofya hapa kuwasiliana na daktari hapa BURE

Sh 600

Share :-

SKU 20221931 Category Tag

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Telmisartan 80mg.

Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kudhibiti shinikizo la damu (Hypertension)
  • Kuzuia matatizo ya moyo kama vile kiharusi (Stroke) na mshtuko wa moyo (Heart attack) kwa wagonjwa wenye hatari kubwa ya kutokea kwa matatizo hayo

Zingatia Kunywa kidonge hiki kila siku kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi. Usikate au kubadilisha kipimo bila ushauri wa daktari. Dawa hii inaweza kuchukuliwa na au bila ya chakula.

Kuipata dawa hii:

  • Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
  • Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa

Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Safetelmi 80Mg Tablet”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.