Dawa hii ina kiungo kikuu cha Telmisartan na Hydrochlorothiazide 40/12.5mg.
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kupunguza shinikizo la damu (hypertension)
- Kutibu ugonjwa wa moyo (heart failure)
- Kupunguza hatari ya kiharusi (stroke)
- Kuzuia kufura kwa mwili (edema)
Zingatia Kunywa kidonge hiki kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi. Usitumie kipimo kikubwa au kidogo kuliko kilichopendekezwa na daktari au kwenye maelekezo. Dawa hii inapaswa kuchukuliwa mara moja kwa siku, kwa mdomo, pamoja na chakula au bila chakula kulingana na ushauri wa daktari.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa
Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.