Dawa hii ina kiungo kikuu cha dawa hii ni Hydralazine 25mg (kidonge cha Hydralazine 25mg).
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kupunguza shinikizo la damu (hypertension)
- Kutibu ugonjwa wa moyo (heart failure)
- Kuongeza mtiririko wa damu kwenye moyo na mishipa ya damu (increased blood flow to the heart and blood vessels)
Zingatia Kunywa kidonge hiki kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi. Epuka kunywa pombe wakati unatumia dawa hii kwani inaweza kuongeza athari zake za upunguzaji wa shinikizo la damu.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa
Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.