Plendil 5Mg Tablet

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Felodipine kwa kila kidonge cha Plendil 5mg.



Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kudhibiti shinikizo la damu linaloletwa na shinikizo la damu la juu (Hypertension).
  • Kuzuia maumivu ya kifua (Angina).


Kuipata dawa hii

  • Dawa hii inahitaji agizo la daktari (Prescription)
  • Ikiwa huna prescription, bofya hapa kuwasiliana na daktari hapa BURE

Sh 1,000

Share :-

SKU 20221908 Category Tag

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Felodipine kwa kila kidonge cha Plendil 5mg.



Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kudhibiti shinikizo la damu linaloletwa na shinikizo la damu la juu (Hypertension).
  • Kuzuia maumivu ya kifua (Angina).

Zingatia Kunywa kidonge hiki kila siku kwa saa ile ile. Usichukue dozi kubwa au ndogo kuliko iliyopendekezwa. Ikiwa unahitaji kuacha kutumia dawa hii, tafadhali ongea na daktari wako kabla ya kuacha.



Kuipata dawa hii:

  • Plendil 5mg kidonge inapatikana kwa prescription cha daktari pekee.
  • Tafadhali ongea na daktari wako ili kupata dawa hii.

Kumbuka, hii ni dawa ya kudhibiti shinikizo la damu. Usiache kutumia dawa hii bila kumwona daktari wako.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Plendil 5Mg Tablet”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.