Ikinge ngozi yako dhidi ya mionzi hatari ya jua na Nivea Sun Screen SPF30 Lotion. Hii ni formula nyepesi inayotoa ulinzi mpana dhidi ya kuungua na kuzeeka kwa ngozi mapema. Ikiwa na SPF30, inahakikisha ulinzi wa kuaminika wakati inakidhi mahitaji ya ngozi yako, ikikulinda dhidi ya miale ya jua aina ya UV-A na UV-B. Ina ujazo wa kutosha (200ml) unaohakikisha inatosha kwa matumizi ya kila siku. Furahia shughuli za nje kwa ujasiri, ukijua ngozi yako inalindwa vizuri. Tumia Nivea Sun Screen SPF30 Lotion kwa usalama dhidi ya jua na ngozi yenye afya.
Faida Muhimu:
• Ulinzi mpana wa SPF30
• Formula nyepesi, haina kuacha mabaki meupe kwenye ngozi.
• Inalinda dhidi ya mionzi hatari ya jua, aina ya UV-A na UV-B
• Inafaa kwa matumizi ya kila siku
• Ujazo: 200ml
•Haitoki baada ya kuogelea
Inafaa kwa Aina za Ngozi:
Losheni hii inafaa kwa aina mbalimbali za ngozi, haswa zile zinazohitaji kinga dhidi ya jua. Ngozi kavu, ngozi yenye mchanganyiko, na ngozi yenye mafuta zinaweza kunufaika na kinga hii ya jua ili kuzuia kuzeeka na kuungua.
Jinsi ya Kutumia:
Tumia Nivea Sun Screen SPF30 Lotion kama hatua ya mwisho kwenye utaratibu wako wa utunzaji wa ngozi ( Skin routine) kabla ya kwenda nje. Baada ya kujisafisha, na kutumia toner kisha ukatumia serum, paka polepole losheni hii kwenye uso na maeneo mengine yanayokaa wazi. Tumia kila siku ili kuhakikisha ngozi yako inalindwa vizuri dhidi ya madhara ya jua.
Hifadhi ngozi yako chini ya jua na Nivea Sun Screen SPF30 Lotion.
Reviews
There are no reviews yet.