Dawa hii ina kiungo kikuu cha Nifelat-R 20Mg Kidonge ni Nifedipine 20mg SR.
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kutibu shinikizo la damu (Hypertension)
- Kuzuia maumivu ya kifua (Angina)
- Kupunguza hatari ya kiharusi (Stroke)
Zingatia Kunywa kidonge hiki kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi. Usivunje au kukata kidonge hiki. Usichanganye na vyakula vyenye asidi nyingi. Epuka kuvuta sigara wakati unapotumia dawa hii.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa
Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.