Dawa hii ina kiambato kikuu cha Nifelat ni Nifedipine 10mg.
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kupunguza shinikizo la damu (Hypertension)
- Kutibu maumivu ya kifua yanayotokana na matatizo ya moyo (Angina pectoris)
- Kutibu matatizo ya mfumo wa mzunguko wa damu kwenye moyo (Coronary artery disease)
Zingatia Kunywa kidonge hiki kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi. Usichapishe, usigawe, au kusaganya kidonge hiki. Epuka kunywa pombe wakati unatumia dawa hii.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa
Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.