Miradent Halitosis Spray 15ml

Ikiwa unasumbuliwa na harufu mbaya, dawa hii ya kupuliza mdomoni ni suluhisho bora na rahisi. Miradent Halitosis Spray, ina ladha ya kupendeza, inakucha ukijisikia fresh ukiwa na pumzi safi mara moja na kwa muda mrefu.

Sh 10,000

Note: You might need prescription on Checkout ⓘ A prescription is a document from a certified medical professional required for certain medicines (prescription-only) to ensure safe and legal use.
Chronic Conditions?

Introducing JaliCare

  • Monthly medicine delivery.
  • Supports chronic care.
  • Personal health assistant.
Pay How Ever You Want
  • Pay via Mobile Money, bank, or card.
  • Payments are safe and encrypted.
Delivery Across Tanzania
  • We deliver to all regions.
  • Orders arrive in 2–4 business days.
  • Same-day delivery in Dar es Salaam.
  • Free delivery for orders above TZS 250,000.
We Are a Real Pharmacy
  • Licensed by the Pharmacy Council of Tanzania.
  • All products are genuine.
  • Registration can be verified online.
Buying In Bulk?

Reviews

There are no reviews yet

Add a review
You must be logged in to post a review Log In

Details

  • Utangulizi:-Hali ya kuwa kinywa safi ni hali muhimu ya kujisikia vizuri katika jamii. Lakini kulingana na tafiti mbali mbali hata kwa mtu anaepiga mswaki mara kwa mara hawezi kuzuia harufu mbaya mdomoni kwa 100%. Ikiwa unasumbuliwa na harufu mbaya, dawa hii ya kupuliza mdomoni ni suluhisho bora na rahisi. Miradent Halitosis Spray, ina ladha ya kupendeza, inakucha ukijisikia fresh ukiwa na pumzi safi mara moja na kwa muda mrefu.Dawa hii imewekewa kiambatanisho cha xylitol kilicho katika dawa kina uwezo wa kuzuia meno kutoboka na kulinda enamel, hivyo kusaidia kikamilifu usafi wa kila siku wa mdomo. Dawa hii haijawekewa pombe au gesi ya propellanttestosteroneMaelekezo: pumzi mbaya.
  • Imeundwa na:-Aina 3 za mint na fennel: zenye uwezo wa kuzuia harufu mbaya Echinacea na sage: zenye uwezo wa kuzuia vimelea vya bakteria (bacteriostatic). Zinki gluconate na kloridi ya zinki: kuondokana na misombo ya sulfuri tete  na Xylitol 10%: husaidia kizalisha mate, kuzuia meno kutoboka na pia kuzuia magaga kunasa kwenye meno – Natrium fluoride 280 ppm:
  • Jinsi inavyofanya kazi:-Huzuia hafufu mbaya mdomoni
  • Jinsi ya Kutumia:-Pulizia mdomoni kila kipindi unapohitaji
What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 2 GB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.

OTP Verification
< Back