Met-Xl 50Mg Tablet

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Metoprolol Tartrate 50mg kwenye kidonge chenye kutolewa taratibu (ER).

Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kudhibiti shinikizo la damu kwenye moyo (Hypertension)
  • Kupunguza kasi ya moyo (Heart rate control)
  • Kudhibiti maumivu ya kifua (Angina)
  • Kusaidia katika kutibu shida za moyo kama vile hali ya kushindwa kwa moyo (Heart failure)

Kuipata dawa hii

  • Dawa hii inahitaji agizo la daktari (Prescription)
  • Ikiwa huna prescription, bofya hapa kuwasiliana na daktari hapa BURE

Sh 700

Share :-

SKU 20220676 Category Tag

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Metoprolol Tartrate 50mg kwenye kidonge chenye kutolewa taratibu (ER).

Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kudhibiti shinikizo la damu kwenye moyo (Hypertension)
  • Kupunguza kasi ya moyo (Heart rate control)
  • Kudhibiti maumivu ya kifua (Angina)
  • Kusaidia katika kutibu shida za moyo kama vile hali ya kushindwa kwa moyo (Heart failure)

Zingatia Kunywa dawa hii kila siku kwa kipimo kilichopendekezwa na daktari. Epuka kusimamisha matumizi ya dawa hii ghafla bila idhini ya daktari.

Kuipata dawa hii:

  • Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
  • Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa

Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Met-Xl 50Mg Tablet”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.