Dawa hii ina kiambato kikuu cha Metoprolol 100mg ER kidonge.
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kudhibiti shinikizo la damu (Hypertension)
- Kuzuia kifafa cha moyo (Angina pectoris)
- Kudhibiti mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida (Arrhythmia)
- Kusaidia kupona kwa moyo baada ya kushambuliwa (Myocardial Infarction)
Zingatia Kunywa kidonge hiki kila siku kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi. Usivunje au kusaga kidonge hiki. Usisimamishe matumizi ya dawa hii bila idhini ya daktari wako.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa
Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.