MamaSave Kit ni mkusanyiko wa vifaa muhimu kwa kila mama anayejiandaa kujifungua. Kilichoundwa kwa umakini ili kuhakikisha usafi na usalama, kit hii inajumuisha vifaa vyote muhimu kwa kujifungua salama. Imeidhinishwa na TMDA – ubora umehakikishwa!
Yaliyomo Ndani ya MamaSave Kit:
- ✅ Underpad Sheet (80 x 180cm) – 1
- ✅ Gloves za Sterile (Size 7.5) – 4 pairs
- ✅ Cotton Wool (500mg) – 1
- ✅ Cord Clamp – 1
- ✅ Surgical Blades (21G) – 2
- ✅ Cutgut Suture (2/0) – 1
- ✅ Syringe na Luer Lock (5ml, 21G) – 2
- ➕ Maternity Pads – 2 (Zawadi ya hiari)
Unaweza kununua jumla au kwa rejareja
-
Kwa Wauzaji wa Jumla:
Agiza MamaSave Kits kwa Carton Orders (16+ pcs) na ongeza bidhaa inayouzika haraka kwenye maduka ya dawa, hospitali, au vituo vya afya.Ili kuagiza kwa jumla, itakupaswa ujisajili kwenye platform hii, Unaweza kuchart na Mwakilishi wetu kwa muongozo zaidi.
-
Kwa Wateja wa Rejareja:
Nunua MamaSave Delivery Kit na hakikisha usafi wa mama na mtoto wakati wa kujifungua. Inapatikana kwa bei nafuu na bidhaa ya uhakika kwa familia yako.
Kwanini Utegemee MamaSave?
- Usafi wa hali ya juu kwa mama na mtoto
- Inahakikisha usalama wa mama katika kila hatua ya kujifungua
- Bidhaa iliyoidhinishwa na TMDA kwa ubora wa hali ya juu
- Zawadi ya Maternity Pads kwa wateja wa rejareja!
Usikose fursa hii! MamaSave Kit ni suluhisho bora kwa kila mama anayejiandaa kujifungua.
Reviews
There are no reviews yet.