Losakind 50Mg Tablet

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Losartan Potassium 50mg.



Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kudhibiti shinikizo la damu (Hypertension)
  • Kupunguza hatari ya kiharusi (Stroke risk reduction)
  • Kupunguza hatari ya kufeli kwa figo (Renal failure risk reduction)


Kuipata dawa hii

  • Dawa hii inahitaji agizo la daktari (Prescription)
  • Ikiwa huna prescription, bofya hapa kuwasiliana na daktari hapa BURE

Sh 800

Share :-

SKU 20220622 Category Tag

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Losartan Potassium 50mg.



Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kudhibiti shinikizo la damu (Hypertension)
  • Kupunguza hatari ya kiharusi (Stroke risk reduction)
  • Kupunguza hatari ya kufeli kwa figo (Renal failure risk reduction)

Zingatia Kunywa dawa hii kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi. Usitumie kipimo kikubwa au kidogo kuliko kilichopendekezwa na daktari au kwenye maelekezo. Epuka kutumia dawa hii ikiwa unajua una mzio au unakabiliwa na shinikizo kubwa la damu.



Kuipata dawa hii:

  • Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
  • Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa

Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.”

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Losakind 50Mg Tablet”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.