Korandil 5Mg Tablet

Dawa hii ina kiungo kikuu cha dawa hii ni Enalapril 5mg.

Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kushusha shinikizo la damu (Hypertension)
  • Kupunguza kazi ya moyo (Reducing the workload of the heart)
  • Kutibu matatizo ya moyo (Treating heart problems) kama vile kushindwa kwa moyo (heart failure) na kufanya kazi kwa moyo kutokana na shinikizo la damu (Left ventricular dysfunction due to high blood pressure)

Kuipata dawa hii

  • Dawa hii inahitaji agizo la daktari (Prescription)
  • Ikiwa huna prescription, bofya hapa kuwasiliana na daktari hapa BURE

Sh 400

Share :-

SKU 20220399 Category Tag

Dawa hii ina kiungo kikuu cha dawa hii ni Enalapril 5mg.

Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kushusha shinikizo la damu (Hypertension)
  • Kupunguza kazi ya moyo (Reducing the workload of the heart)
  • Kutibu matatizo ya moyo (Treating heart problems) kama vile kushindwa kwa moyo (heart failure) na kufanya kazi kwa moyo kutokana na shinikizo la damu (Left ventricular dysfunction due to high blood pressure)

Zingatia Chukua dawa hii kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi. Epuka pombe wakati unapotumia dawa hii. Kama una maswali yoyote kuhusu matumizi ya dawa hii, tafadhali uliza daktari wako.

Kuipata dawa hii:

  • Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
  • Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa

Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Korandil 5Mg Tablet”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.