Dawa hii ina kiungo kikuu cha Isosorbide Dinitrate 10mg.
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kutibu ugonjwa wa moyo (angina pectoris)
- Kupunguza mshtuko wa moyo (heart attack)
Zingatia Kunywa dawa hii kulingana na maelekezo ya daktari. Epuka kunywa pombe wakati unatumia dawa hii. Usisimamishe matumizi ya dawa hii bila kumshauri daktari.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa
Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.