Dawa hii ina kiungo kikuu cha Methyldopa 250mg.
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kudhibiti shinikizo la damu la juu (Hypertension)
- Kudhibiti shambulizi la moyo (Angina)
- Kudhibiti matatizo ya figo (Renal disease)
Zingatia Kunywa dawa hii kwa wakati ule ule kila siku ili kudhibiti shinikizo la damu lako. Usiache kuchukua dawa hii ghafla bila kushauriana na daktari.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa
Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.