Human Cherish (Hc / Hq) Aerobic Sanitary Pads,10'S
- Hutumika:- Kuzuia damu kutoka wakati wa hedhi,kumuweka mwanamke huru
- Imeundwa na:- Mchanganyiko wa pamba halisi na miti-shamba
- Imetengenezwa na:-Foshan Cherish Sanitary Goods(China)
- Tumia :-Kwa Matumizi ya nje
- Haihitaji cheti cha daktari.
5,000Tsh/ Unit
Select Chagua Aina
1

