Forever Alovera gel juice,1lt

Sh 55,000

Share :-

SKU 20221436 Category

FAIDA ZA ALOEVERA GEL JUICE .
Inasaidia mwili wa binadamu kupambana na matatizo mabalimbali katika mwili

1.Kuboresha mmengenyo wa chakula
2.inasaidia kupunguza Acid Tumboni
3.KUONDOA SUMU/TAKAMWILI zitokanazo na vyakula ,madawa ,Pombe ,Singara, nk
4.Kurutubisha ngozi kwa kuondoa CELL zilizokufa na Kutengeneza mpya
5.Msongo wa mawazo (Stress)nk
6.Huimarisha mzunguko wa damu na kuondoa mafuta yasiyohitajika.
7.kuongezea mwili nguvu na kinga zaidi
8.Kusafisha utumbo mpana na kusaidia kupata choo vizuri.

Ina Amino Acid zaidi ya 18 ambazo ambazo 7kati ya hizo ni muhimu sana katika ukuwaji wa chembe chembe za uhai katika mwili wa binadamu.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Forever Alovera gel juice,1lt”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.