Dawa hii ina viungo vya dawa ya Bisoprolol 10mg
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kusaidia kupunguza shinikizo la damu kwa wagonjwa wenye shinikizo la damu la juu
- Kuzuia maumivu ya kifua (angina)
- Kudhibiti matatizo ya moyo baada ya shambulio la moyo
- Kusaidia kudhibiti matatizo ya moyo kwa wagonjwa walio na shida ya moyo (HF)
Zingatia tumia dawa hii kwa kuzingatia maelekezo ya daktari wako.
Kuipata dawa hii
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Ikiwa huna Prescription, onana na daktari hapa BURE bofya hapa
- Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla
Reviews
There are no reviews yet.