Commode wheel chair with straps,1’s
- Commode wheel chair ni kifaa tiba  kwa ajiri ya kurahisisha huduma kwa wagonjwa wasiojiweza kutembea wenyewe na kushidwa kuzuia haja kubwa.
- Kimetengezwa na material imara ya stainless steel, aluminum, ngozi na plastic.
- Sifa ya tofauti na viti vingine kama hivi ni kwamba hiki kina   mkanda maalumu wa kumshikiria mgonjwa asianguke.
Sh 340,000
SKU
AD1738
Category Medical Devices
Tags (Incontinance), China, Kuishi na Kutembea, Kujisaidia, Kusaidi pindi mgonjwa anapokuwa chooni
Related Recommendations…
-
Patient Wheel Chair,1’s
Sh 300,000Original price was: Sh 300,000.Sh 287,000Current price is: Sh 287,000.
Related products
-
Neoject Disposable 2cc Syringe with Needle,1’s
Sh 500Original price was: Sh 500.Sh 300Current price is: Sh 300.