Dawa hii ina kiungo kikuu cha Losartan na Hydrochlorothiazide kila kidonge kina 62.5mg.
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kudhibiti shinikizo la damu linaloweza kusababisha magonjwa ya moyo na mishipa (hypertension)
- Kusaidia kutoa maji mwilini kwa wagonjwa wenye tatizo la kuhifadhi maji mwilini (edema)
Zingatia Kunywa dawa hii kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi. Usivunje au kusagwa kidonge hiki. Epuka kunywa pombe wakati unatumia dawa hii.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa
Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.