Cilzec Plus 40/12.5Mg Tablet

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Telmisartan na Hydrochlorothiazide kwa kipimo cha 40/12.5mg kila kidonge cha Cilzec Plus 12.5mg.



Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kudhibiti shinikizo la damu la juu (Hypertension)
  • Kupunguza kiwango cha maji mwilini (Diuretic)


Kuipata dawa hii

  • Dawa hii inahitaji agizo la daktari (Prescription)
  • Ikiwa huna prescription, bofya hapa kuwasiliana na daktari hapa BURE

Sh 600

Share :-

SKU 20221022 Category Tag

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Telmisartan na Hydrochlorothiazide kwa kipimo cha 40/12.5mg kila kidonge cha Cilzec Plus 12.5mg.



Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kudhibiti shinikizo la damu la juu (Hypertension)
  • Kupunguza kiwango cha maji mwilini (Diuretic)

Zingatia Kunywa kidonge hiki kila siku kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi. Usitumie kipimo kikubwa au kidogo kuliko kilichopendekezwa na daktari au kwenye maelekezo. Pia, hakikisha unafuatilia shinikizo lako la damu kwa karibu.

Kuipata dawa hii:

  • Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
  • Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa

Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Cilzec Plus 40/12.5Mg Tablet”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.