Dawa hii ina kiungo kikuu cha Telmisartan 80mg. Dawa hii inapatikana kama kidonge cha Cilzec 80mg.
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kudhibiti shinikizo la damu (Hypertension)
- Kupunguza hatari ya kiharusi (Stroke)
- Kupunguza hatari ya matatizo ya moyo (Cardiovascular events)
Zingatia Kunywa dawa hii kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi. Usivunje kidonge au kusagwa. Unaweza kuitumia kabla au baada ya chakula. Iwapo una shida ya figo, tafadhali ongea na daktari wako kabla ya kutumia dawa hii.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa
Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.