Dawa hii ina kiungo kikuu cha Telmisartan kwa kipimo cha 40mg kwa kidonge.
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kudhibiti shinikizo la damu (Hypertension)
- Kudhibiti ugonjwa wa moyo (Heart disease)
- Kupunguza hatari ya kiharusi (Stroke prevention)
- Kudhibiti ugonjwa wa figo unaohusiana na shinikizo la damu (Renal disease)
Zingatia Kunywa kidonge kimoja cha Cilzec 40mg kila siku kwa wakati uliopendekezwa na daktari. Usivunje, usisage, au kumeza kidonge bila kumwambia daktari wako. Pia, usipunguze au kuongeza kipimo chako bila kumshauri daktari wako.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa
Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.