Dawa hii ina kiambato cha atenolol 50mg
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kupunguza shinikizo la damu
- Kupunguza hatari ya kuzimia au kiharusi
- Kupunguza maumivu ya kifua (angina)
- Kudhibiti mapigo ya moyo yasiwe ya haraka sana (tachycardia)
Zingatia daima fuata maelekezo ya daktari au maelekezo kwenye lebo ya dawa.
Kuipata dawa hii
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Ikiwa huna Prescription, onana na daktari hapa BURE bofya hapa
- Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla
Reviews
There are no reviews yet.