Cardoz 6.25Mg Tablet

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Carvedilol 6.25mg kwa kidonge kimoja cha dawa cha Cardoz 6.25Mg Tablet.

Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kupunguza shinikizo la damu kwenye moyo na mishipa ya damu (Hypertension)
  • Kupunguza hatari ya kuzimia (Syncope)
  • Kupunguza mzigo wa kazi kwenye moyo (Cardiac workload)
  • Kuboresha ufanyaji kazi wa moyo (Heart function)

Kuipata dawa hii

  • Dawa hii inahitaji agizo la daktari (Prescription)
  • Ikiwa huna prescription, bofya hapa kuwasiliana na daktari hapa BURE

Sh 300

Share :-

SKU 20220187 Category Tag

Dawa hii ina kiungo kikuu cha Carvedilol 6.25mg kwa kidonge kimoja cha dawa cha Cardoz 6.25Mg Tablet.

Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kupunguza shinikizo la damu kwenye moyo na mishipa ya damu (Hypertension)
  • Kupunguza hatari ya kuzimia (Syncope)
  • Kupunguza mzigo wa kazi kwenye moyo (Cardiac workload)
  • Kuboresha ufanyaji kazi wa moyo (Heart function)

Zingatia Kunywa kidonge hiki kwa maji mengi. Unaweza kuchukua dawa hii pamoja na chakula au bila chakula, lakini ni bora kuchukua kwa wakati huo huo kila siku ili kufikia matokeo bora. Usiache kutumia dawa hii ghafla bila kushauriana na daktari wako.

Kuipata dawa hii:

  • Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
  • Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE (insert WA link)

Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Cardoz 6.25Mg Tablet”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.