Dawa hii ina kiambato kikuu cha Amlodipine 5mg (kidonge cha Camlodin 5mg).
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kudhibiti shinikizo la damu (Hypertension)
- Kutibu ugonjwa wa angina (Angina pectoris)
Zingatia Kunywa kidonge hiki cha Camlodin 5mg kila siku kwa wakati uliopangwa na daktari. Usipitie dozi au kuacha matumizi ya dawa hii bila idhini ya daktari. Dawa hii inaweza kusababisha kizunguzungu au usingizi, hivyo epuka kuendesha gari au kufanya kazi hatari mpaka utakapoanza kujisikia vizuri.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa
Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.