Dawa hii ina kiungo kikuu cha Amlodipine 10mg kwa kidonge cha Calcheck.
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kudhibiti shinikizo la damu (hypertension)
- Kuzuia angina (angina pectoris)
Zingatia Kunywa kidonge hiki cha Calcheck kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi kilichopendekezwa na daktari. Usiongeze au kupunguza kipimo bila idhini ya daktari wako.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa
kidonge cha Calcheck kinapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.