Benduric 5Mg

Dawa hii ina kiambato kikuu cha Bendroflumethiazide 5mg (Benduric 5Mg).



Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kudhibiti shinikizo la damu (hypertension)
  • Kuzuia kuvimba kwa mwili (edema)


Kuipata dawa hii

  • Dawa hii inahitaji agizo la daktari (Prescription)
  • Ikiwa huna prescription, bofya hapa kuwasiliana na daktari hapa BURE

Sh 100

Share :-

SKU 20221585 Category Tag

Dawa hii ina kiambato kikuu cha Bendroflumethiazide 5mg (Benduric 5Mg).



Inatumika kutibu yafuatayo:-

  • Kudhibiti shinikizo la damu (hypertension)
  • Kuzuia kuvimba kwa mwili (edema)

Zingatia Kunywa dawa hii kila siku kwa wakati ule ule kila siku. Epuka kunywa pombe wakati unatumia dawa hii, kwani inaweza kuongeza athari za upungufu wa maji mwilini (dehydration).



Kuipata dawa hii:

  • Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
  • Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa

Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla. Kidonge kimoja (1) cha Benduric 5Mg kunywa kila siku.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Benduric 5Mg”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.