Dawa hii ina kiungo kikuu cha Amlodipine 10mg (Kidonge cha Amlodipine 10mg).
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kushusha shinikizo la damu la juu (hypertension)
- Kutibu ugonjwa wa moyo (angina)
Zingatia Kunywa kidonge hiki kwa saa zilizopangwa na kwa kipimo sahihi. Usitumie kipimo kikubwa au kidogo kuliko kilichopendekezwa na daktari au kwenye maelekezo. Epuka kunywa pombe wakati unatumia dawa hii.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa
Kidonge cha Amlodipine 10mg kinapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.