Dawa hii ina kiungo kikuu cha Amlodipine 10mg kwa kidonge kimoja cha Amlosin 10mg Tablet.
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kupunguza shinikizo la damu la juu (Hypertension)
- Kuzuia maumivu ya kifua (Angina)
Zingatia Unapaswa kunywa kidonge kizima cha Amlosin 10mg Tablet na maji safi ya kunywa kwa wakati ule ule kila siku. Usivunje kidonge, usichanganye na vinywaji vingine na usitumie kipimo kikubwa au kidogo kuliko kilichopendekezwa na daktari.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa
Amlosin 10mg Tablet inapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.