Dawa hii ina kiungo kikuu cha Isosorbide Mononitrate 10mg.
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kutibu angina (angina pectoris)
- Kupunguza msongamano kwenye moyo (congestive heart failure)
- Kupunguza shinikizo la damu (hypertension)
- Kuzuia maumivu kwenye kifua (chest pain)
Zingatia Kunywa dawa hii kwa usahihi kulingana na maelekezo ya daktari. Epuka kuvunja au kusagwa vidonge hivi. Usipuuzie kipimo cha dawa hii na usiache kutumia mara moja isipokuwa kama imeagizwa na daktari.
Kuipata dawa hii:
- Dawa hii inahitaji prescription cha daktari
- Kama huna Prescription, tafadhali onana na daktari hapa BURE bofya hapa
Dawa hii inapatikana kwa bei ya jumla.
Reviews
There are no reviews yet.