Simple
Gundua uwepesi wa kuwa mzuri na bidhaa za Simple. Bidhaa hizi zinatoa suluhisho la ngozi kwa upole na ufanisi kwa mahitaji ya ngozi yako hasa kwa watu wenye ngozi sensitive. Imeandaliwa kwa umakini na viungo vinavyojali ngozi, haina kemikali kali wala manukato. Itakuacha na mwangaza wa asili kwenye ngozi yako Simple.
Showing all 4 results