Amini usiamini, inatuhusu kuhakikisha unapata dawa zako kulingana na maagizo ya daktari wako, kama alivyoandika kwenye cheti (Prescription),na kama dawa zako ni za kujirudia kila mwezi, kwa wagonjwa wenye magonjwa sugu, utafurahia utaatibu wetu wa kuweza kukumbusha kuja kuchukuwa dawa zako kila tarehe yako inapofika au ukitaka tunaweza kuwa tunakuletea mahali unapotaka.

What is a name of your medicine
I dont remember my Medicines
UPLOAD PRESCRIPTION
Maximum file size: 512 MB
When do you want us to deliver?
User Email
User Phone

By clicking 'Submit,' you agree to our AfyaDepo Partner Terms and Conditions.