Huduma ya kwanza
Weka familia yako tayari kukabiliana na ajali ndogo ndogo kabla ya kufika kituo cha afya,hii inaweza kuokoa maisha. Kwa kutumia vifaa vya huduma ya kwanza vilivyokamilika vizuri. Tumekuwekea plasters, dawa za kutuliza maumivu, dawa za kuua bacteria, bandages, pamba na vingine vingi, Hivi vyo unaweza kununu kwa pamoja katika kisanduku (AD First Aid Kit) kilichoandaliwa kwa gharama naafuu.
Showing 13–14 of 14 results