Anemia
Upungufu wa damu(Anemia) kutokana na kupungua kwa madini ya chuma ni kati ya aina kuu za upungufu wa damu. Mwili unakuwa hauna madini ya chuma ya kutosha ili kutengeneza hemoglobini. Hemoglobini ni muhimu katika kusafirisha oksijeni kwenye mwili.Dalili za upungufu wa damu ni uchovu, udhaifu, kukosa nguvu na kuishiwa pumzi. Wale walioathirika pia huweza kuwa na ngozi iliyopauka na matatizo ya nywele na kucha. Watu wengi hupona vizuri kwa kutumia virutubisho na kwa kutibu chanzo ya hali hii kutokea.
Showing the single result