Aderan 32Mg Tablet
Dawa hii ina kiambato kikuu cha Candesartan cilexetil (32mg).
Inatumika kutibu yafuatayo:-
- Kudhibiti shinikizo la damu (Hypertension)
- Kuzuia kufura kwa moyo (Heart failure)
- Kupunguza hatari ya kiharusi (Stroke risk reduction)
Kuipata dawa hii
- Dawa hii inahitaji agizo la daktari (Prescription)
- Ikiwa huna prescription, bofya hapa kuwasiliana na daktari hapa BURE
Sh 1,000
📝 Note: If your cart contains a prescription-only product, a prescription will be required.
ⓘ
A prescription is a document from a certified medical professional required for certain medicines (prescription-only) to ensure safe and legal use.
Are you a Business?
SKU
202218964
Categories Antihypertensive, Medicines, Prescription Medicines